National Geographic - @natgeo Instagram Profile

@mshindo_news

Kwa habari za michezo, mziki , udaku , afya tembelea 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇

1K Media

1.1K followers

2.2K followings

Mabingwa wa Mapinduzi Cup Azam FC katika picha.
mshindo blog - @mshindo_news Instagram Profile | instasw.com
mshindo_news
0

Mabingwa wa Mapinduzi Cup Azam FC katika picha.

#MapinduziCup2018 AZAM FC wanafanikiwa kuchukua Kombe la Mapinduzi kwa mara ya pili mfululizo baada ya kuwafunga URA kwa mikwaju ya penati 4-3.

Kipa wa Azam Razak Abalora 'Mikono 100' amecheza mikwaju miwili ya URA.
mshindo blog - @mshindo_news Instagram Profile | instasw.com
mshindo_news
0

#mapinduzicup2018 AZAM FC wanafanikiwa kuchukua Kombe la Mapinduzi kwa mara ya pili mfululizo baada ya kuwafunga URA kwa mikwaju ya penati 4-3. Kipa wa Azam Razak Abalora 'Mikono 100' amecheza mikwaju miwili ya URA.

Zidan kabla ya kuwa kocha wa Real Madrid ndio alikuwa mshauri mkubwa wa Florentino Perez rais huyu wa klabu hiyo.

Kwa sasa klabu hiyo inapitia wakati mgumu sana,mashabiki wake hawana sauti tena kwenye vibanda,hawaongei chochote katika nyuso za mashabiki wa Barcelona.

Licha ya matokeo ambayo yamefanya wawe katika wakati mgumu wa kutetea taji lao kocha huyu bado ameongeza mkataba mpya angali wengi wakitarajia kusikia katimuliwa.

Ilikuwa lazima iwe hivyo Perez asingeweza kuvaa kininja na kuacha kuitazama sura ya Zidan mshauri wake mkuu kabisa kabla ya kumpa kibarua,angeazaje hapo?

Ni kweli roho za watu ni ngumu kwa maamuzi wakati mwingine lakini sio kwa aina ya Perez na Zidan hapo lazima warudi nyuma kidogo ili kuona kama roho itakuwa rahisi.

Achana na huo uswahiba licha ya kuwa kikosi kimekua dhoofu hakina tena wapambanaji tishio lakini Zidan amenukuliwa akisema hawataongeza mchezaji kwa sasa.

Wanajua hali yao Perez hamwagi tena pesa na wamekubali biashara iishe,Barcelona abebe taji lake huku hesabu yao ikiwa ni matumizi mwishoni mwa msimu.

Tayari Zidan ameweka mezani kwa Perez majina ya Mbape,Neymar na Kane wengine ni Dele unadhani hesabu yao ipoje hapo,wameacha 2017-18 iende kinyonge wakisubiri furaha ya 2018-19.

Acha tuzime mioyo yetu tuingoje hesabu mpya mwakani lakini ikiazia mwaka huu.
mshindo blog - @mshindo_news Instagram Profile | instasw.com
mshindo_news
1

Zidan kabla ya kuwa kocha wa Real Madrid ndio alikuwa mshauri mkubwa wa Florentino Perez rais huyu wa klabu hiyo. Kwa sasa klabu hiyo inapitia wakati mgumu sana,mashabiki wake hawana sauti tena kwenye vibanda,hawaongei chochote katika nyuso za mashabiki wa Barcelona. Licha ya matokeo ambayo yamefanya wawe katika wakati mgumu wa kutetea taji lao kocha huyu bado ameongeza mkataba mpya angali wengi wakitarajia kusikia katimuliwa. Ilikuwa lazima iwe hivyo Perez asingeweza kuvaa kininja na kuacha kuitazama sura ya Zidan mshauri wake mkuu kabisa kabla ya kumpa kibarua,angeazaje hapo? Ni kweli roho za watu ni ngumu kwa maamuzi wakati mwingine lakini sio kwa aina ya Perez na Zidan hapo lazima warudi nyuma kidogo ili kuona kama roho itakuwa rahisi. Achana na huo uswahiba licha ya kuwa kikosi kimekua dhoofu hakina tena wapambanaji tishio lakini Zidan amenukuliwa akisema hawataongeza mchezaji kwa sasa. Wanajua hali yao Perez hamwagi tena pesa na wamekubali biashara iishe,Barcelona abebe taji lake huku hesabu yao ikiwa ni matumizi mwishoni mwa msimu. Tayari Zidan ameweka mezani kwa Perez majina ya Mbape,Neymar na Kane wengine ni Dele unadhani hesabu yao ipoje hapo,wameacha 2017-18 iende kinyonge wakisubiri furaha ya 2018-19. Acha tuzime mioyo yetu tuingoje hesabu mpya mwakani lakini ikiazia mwaka huu.

Cristiano Ronaldo afikisha jumla ya michezo 500 kutumikia klabu tatu tofauti leo
Real Madrid 279
Manchester United  196
Sporting 25 
#MshindoApp #linkkwabioyangu
mshindo blog - @mshindo_news Instagram Profile | instasw.com
mshindo_news
0

Cristiano Ronaldo afikisha jumla ya michezo 500 kutumikia klabu tatu tofauti leo Real Madrid 279 Manchester United 196 Sporting 25 #mshindoapp #linkkwabioyangu

Real madrid 0 - 1villareal

Madrid wanapoteza mchezo mhimu kwao nyumbani kwao santiago bernabeu kwa goli moja bilaa...
mshindo blog - @mshindo_news Instagram Profile | instasw.com
mshindo_news
0

Real madrid 0 - 1villareal Madrid wanapoteza mchezo mhimu kwao nyumbani kwao santiago bernabeu kwa goli moja bilaa...

Mpya kuhusu Evans.! Kocha wa klabu ya West Brom , Alan Pardew ametaja muda wa mwisho wa mauzo ya beki Johnny Evans ili kuondoa 'fukuto' la usajili la dakika za mwisho za dirisha la usajili.

Arsenal, Manchester City na Manchester United wote wamehusishwa na uhamisho wa beki huyo wa kimataifa wa Kaskazini ya Ireland lakini hakuna ofa rasmi ambayo imewasilishwa.  nitaweka tarehe ya mwisho ya usajili wowote ule .Ninaweza kusema siku tatu au nne kabla ya siku ya mwisho ya usajili kutegemeana na biashara ambayo tumeifanya.Huenda tukafanya biashara katika siku ya mwisho ya usajili.  sisemi kwamba siwezi kufanya usajili katika siku tatu za mwisho, lakini kama ni usajili mkubwa , wa mmoja wa wachezaji wetu wakubwa na muhimu kwetu na hatukupata muda wa kukamilisha mipango yetu, basi hakuna biashara ya kufanya . Amesema Pardew. #sokaliveupdates
mshindo blog - @mshindo_news Instagram Profile | instasw.com
mshindo_news
0

Mpya kuhusu Evans.! Kocha wa klabu ya West Brom , Alan Pardew ametaja muda wa mwisho wa mauzo ya beki Johnny Evans ili kuondoa 'fukuto' la usajili la dakika za mwisho za dirisha la usajili. Arsenal, Manchester City na Manchester United wote wamehusishwa na uhamisho wa beki huyo wa kimataifa wa Kaskazini ya Ireland lakini hakuna ofa rasmi ambayo imewasilishwa. " nitaweka tarehe ya mwisho ya usajili wowote ule .Ninaweza kusema siku tatu au nne kabla ya siku ya mwisho ya usajili kutegemeana na biashara ambayo tumeifanya.Huenda tukafanya biashara katika siku ya mwisho ya usajili." " sisemi kwamba siwezi kufanya usajili katika siku tatu za mwisho, lakini kama ni usajili mkubwa , wa mmoja wa wachezaji wetu wakubwa na muhimu kwetu na hatukupata muda wa kukamilisha mipango yetu, basi hakuna biashara ya kufanya ." Amesema Pardew. #sokaliveupdates

Yanga inatarajiwa kuanza mazoezi kesho Jumapili kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Mwadui FC, mchezo utakaopigwa Jumatano ijayo, Januari 17.

Yanga pia inakabiliwa na mchezo wa kwanza wa ligi ya mabingwa barani Afrika kati ya Februari 9-11, mchezo utakaopigwa kwenye dimba la Taifa.

Kocha Mkuu George Lwandamina ameagiza wachezaji wote wawepo kikosini kuelekea michezo hiyo muhimu.

Aidha uongozi wa Yanga umesema beki wake Fiston Kayembe Kanku anatarajiwa kuwasili wakati wowote kutoka DRC alikokwenda kufuatilia vibali vyake.

Tangu asajiliwe na Yanga wakati wa dirisha dogo la usajili lililofunguliwa Novemba 15 hadi Disemba 23, 2017, Kanku hakuwahi kuichezea Yanga.

Imeelezwa kuwa Kanku alishindwa kuitumikia Yanga baada ya kukosa vibali muhimu vilivyomfanya arejee kwao DRC kuvifuatilia.

Lwandamina aliiagiza Kamati ya Utendendaji ya Yanga kuhakikisha mchezaji huyo anakuwa kikosini mapema.
mshindo blog - @mshindo_news Instagram Profile | instasw.com
mshindo_news
0

Yanga inatarajiwa kuanza mazoezi kesho Jumapili kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Mwadui FC, mchezo utakaopigwa Jumatano ijayo, Januari 17. Yanga pia inakabiliwa na mchezo wa kwanza wa ligi ya mabingwa barani Afrika kati ya Februari 9-11, mchezo utakaopigwa kwenye dimba la Taifa. Kocha Mkuu George Lwandamina ameagiza wachezaji wote wawepo kikosini kuelekea michezo hiyo muhimu. Aidha uongozi wa Yanga umesema beki wake Fiston Kayembe Kanku anatarajiwa kuwasili wakati wowote kutoka DRC alikokwenda kufuatilia vibali vyake. Tangu asajiliwe na Yanga wakati wa dirisha dogo la usajili lililofunguliwa Novemba 15 hadi Disemba 23, 2017, Kanku hakuwahi kuichezea Yanga. Imeelezwa kuwa Kanku alishindwa kuitumikia Yanga baada ya kukosa vibali muhimu vilivyomfanya arejee kwao DRC kuvifuatilia. Lwandamina aliiagiza Kamati ya Utendendaji ya Yanga kuhakikisha mchezaji huyo anakuwa kikosini mapema.

Mchezaji bora wa mwezi december #MshindoApp 
#linkkwabioyangu
mshindo blog - @mshindo_news Instagram Profile | instasw.com
mshindo_news
0

Mchezaji bora wa mwezi december #MshindoApp #linkkwabioyangu

Koch bora wa mwezi #december

#MshindoApp #linkkwabioyangu
mshindo blog - @mshindo_news Instagram Profile | instasw.com
mshindo_news
0

Koch bora wa mwezi #december #MshindoApp #linkkwabioyangu

Low kumrithi Zizou ?

Uvumi umeanza sasa kuhusu mustakabali wa Zinedine Zidane kuendelea kuwa kocha wa Real Madrid  ambapo kiwango chao cha chini msimu huu kimewaacha nafasi ya nne, Pointi 16 nyuma ya vinara Barcelona katika msimamo.

Jarida moja la nchini Italia , La Stampa  halina shaka kwamba kuondoshwa katika mashindano ya UEFA ndio itakuwa mwisho wa Zidane katika klabu ya Real.

Wakati huo huo taarifa kutoka Ujerumani zinasema kwamba kocha wa timu ya taifa ya Ujerumani Joachim Löw anatajawa kuchukua mikoba ya Zidane endapo kocha huyo ambaye wiki hii amethibitisha kusaini mkataba mpya mpaka 2020 atafukuzwa na Los Blancos.

Imearifiwa kwamba kulikuwa na mawasiliano kati ya Low na Rais wa klabu ya Real Madrid, Florentino Pérez, kabla ya kuajiriwa kwa Zidane mwaka 2016, ambapo mazungumzo hayo hayakuzaa matunda kwasababu ya Low kuonyesha nia yake ya kutoiacha Ujerumani mpaka fainali za kombe la Dunia nchini Urusi mwaka huu.#downloadmshindonewsapp #linkkwabioyangu
mshindo blog - @mshindo_news Instagram Profile | instasw.com
mshindo_news
0

Low kumrithi Zizou ? Uvumi umeanza sasa kuhusu mustakabali wa Zinedine Zidane kuendelea kuwa kocha wa Real Madrid ambapo kiwango chao cha chini msimu huu kimewaacha nafasi ya nne, Pointi 16 nyuma ya vinara Barcelona katika msimamo. Jarida moja la nchini Italia , La Stampa halina shaka kwamba kuondoshwa katika mashindano ya UEFA ndio itakuwa mwisho wa Zidane katika klabu ya Real. Wakati huo huo taarifa kutoka Ujerumani zinasema kwamba kocha wa timu ya taifa ya Ujerumani Joachim Löw anatajawa kuchukua mikoba ya Zidane endapo kocha huyo ambaye wiki hii amethibitisha kusaini mkataba mpya mpaka 2020 atafukuzwa na Los Blancos. Imearifiwa kwamba kulikuwa na mawasiliano kati ya Low na Rais wa klabu ya Real Madrid, Florentino Pérez, kabla ya kuajiriwa kwa Zidane mwaka 2016, ambapo mazungumzo hayo hayakuzaa matunda kwasababu ya Low kuonyesha nia yake ya kutoiacha Ujerumani mpaka fainali za kombe la Dunia nchini Urusi mwaka huu.#downloadmshindonewsapp #linkkwabioyangu

 FULL-TIME | FINAL
 FC Barcelona v Celta (5-0)
 @leomessi (13' | 15')
 @jordialbaoficial (28')
 @luissuarez9 (31')
 @ivanrakitic (87')
#downloadmshindonewsapp
 #linkkwabioyangu
mshindo blog - @mshindo_news Instagram Profile | instasw.com
mshindo_news
0

FULL-TIME | FINAL FC Barcelona v Celta (5-0) @leomessi (13' | 15') @jordialbaoficial (28') @luissuarez9 (31') @ivanrakitic (87') #downloadmshindonewsapp #linkkwabioyangu

Wachezaji ghali Afrika.

Uhamisho wa Straika Cedric Bakambu wa Pauni Milioni 65.5 kuelekea Beijing Guoan unamfanya kuwa mchezaji ghali wa Kiafrika wa muda wote.

Bakambu ambaye alikuwa anakipiga katika klabu ya Villarrea ya Hispania ametua nchini China katika dirisha hili la usajili la Januari.

Kwa ada hiyo sasa anampiku kiungo Naby keita ambaye amesajiliwa na Liverpool kwa dau la Pauni Milioni 48 kutoka RB Leipzig ya Ujerumani #downloadmshindonewsapp #linkkwabioyangu
mshindo blog - @mshindo_news Instagram Profile | instasw.com
mshindo_news
0

Wachezaji ghali Afrika. Uhamisho wa Straika Cedric Bakambu wa Pauni Milioni 65.5 kuelekea Beijing Guoan unamfanya kuwa mchezaji ghali wa Kiafrika wa muda wote. Bakambu ambaye alikuwa anakipiga katika klabu ya Villarrea ya Hispania ametua nchini China katika dirisha hili la usajili la Januari. Kwa ada hiyo sasa anampiku kiungo Naby keita ambaye amesajiliwa na Liverpool kwa dau la Pauni Milioni 48 kutoka RB Leipzig ya Ujerumani #downloadmshindonewsapp #linkkwabioyangu

Uefa team of the year..
#MshindoApp #linkkwabioyangu
mshindo blog - @mshindo_news Instagram Profile | instasw.com
mshindo_news
0

Uefa team of the year.. #MshindoApp #linkkwabioyangu

Mchezaji bora wa mwezi desember ni habib kihombo wa mbao fc . Huyu aliifunga yanga goli 2 pia alifunga magoli ma tano dhidi makanyagio fc kombe la f.a
#MshindoApp #linkkwabioyangu
mshindo blog - @mshindo_news Instagram Profile | instasw.com
mshindo_news
0

Mchezaji bora wa mwezi desember ni habib kihombo wa mbao fc . Huyu aliifunga yanga goli 2 pia alifunga magoli ma tano dhidi makanyagio fc kombe la f.a #MshindoApp #linkkwabioyangu

#Kwa habari motomoto za michezo na burudani, #Download app ya MSHINDO NEWS.... Fuata link kwenye bio ya @scopper.tz na @mshindo_news kuDownload app hii..
Kwanini MSHINDO NEWS..?? ▶Habari zote hutolewa upesi, baada tu ya matukio kutokea.
▶Habari ni za halisi na uhakikia huku zikiwa zimepitiwa na wachambuzi na editors wenye ujuzi wa hali ya juu. ▶Mshindo news imeBase  kwenye michezo yote na burudani..
▶App ya Mshindo News huweza kutumika ata kwa Internet connection ya chini kabisa
▶Habari zitolewazo niza ukweli na uhakika.
▶PIA KAMA WEWE UNAHITAJI KUKUZA KIPAJI CHAKO CHA UANDISHI WA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI TUCHEKI @scopper.tz
mshindo blog - @mshindo_news Instagram Profile | instasw.com
mshindo_news
1

#kwa habari motomoto za michezo na burudani, #download app ya MSHINDO NEWS.... Fuata link kwenye bio ya @scopper.tz na @mshindo_news kuDownload app hii.. Kwanini MSHINDO NEWS..?? ▶Habari zote hutolewa upesi, baada tu ya matukio kutokea. ▶Habari ni za halisi na uhakikia huku zikiwa zimepitiwa na wachambuzi na editors wenye ujuzi wa hali ya juu. ▶Mshindo news imeBase kwenye michezo yote na burudani.. ▶App ya Mshindo News huweza kutumika ata kwa Internet connection ya chini kabisa ▶Habari zitolewazo niza ukweli na uhakika. ▶PIA KAMA WEWE UNAHITAJI KUKUZA KIPAJI CHAKO CHA UANDISHI WA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI TUCHEKI @scopper.tz

Palace kumnasa Sakho ?

Crystal Palace wapo kwenye mazungumzo ya kumnasa Straika wa West Ham United Diafra Sakho.

Taarifa kutoka Sky Sports zinasema kwamba Sakho anafanya vipimo vya afya katika klabu ya Palace, lakini chanzo karibu na klabu ya West Ham kimeiambia Sky Sports kwamba bado hakuna ofa iliyowasiilishwa katika klabu ya West Ham.

Sakho alikuwepo katika viwanja vya mazoezi vya West Ham leo asubuhi. #downloadmshindonewsapp #linkkwabioyangu
mshindo blog - @mshindo_news Instagram Profile | instasw.com
mshindo_news
0

Palace kumnasa Sakho ? Crystal Palace wapo kwenye mazungumzo ya kumnasa Straika wa West Ham United Diafra Sakho. Taarifa kutoka Sky Sports zinasema kwamba Sakho anafanya vipimo vya afya katika klabu ya Palace, lakini chanzo karibu na klabu ya West Ham kimeiambia Sky Sports kwamba bado hakuna ofa iliyowasiilishwa katika klabu ya West Ham. Sakho alikuwepo katika viwanja vya mazoezi vya West Ham leo asubuhi. #downloadmshindonewsapp #linkkwabioyangu

Chelsea amerazimishwa sare nyumbani kwake na arsenal nusufainali ya carabao cup ..
#MshindoApp #linkkwabioyangu
mshindo blog - @mshindo_news Instagram Profile | instasw.com
mshindo_news
0

Chelsea amerazimishwa sare nyumbani kwake na arsenal nusufainali ya carabao cup .. #MshindoApp #linkkwabioyangu

ARUSHA: Jeshi la Polisi limetangaza kufanya msako wa kuwakamata watu wanaovaa nguo zisizoendana na maadili ya Tanzania na kuwafikisha Mahakamani
-
Kamanda wa Polisi mkoani humo, Charles Mkumbo, amesema uvaaji wa mavazi hayo kwa sasa umekithiri
-
Je, una mtazamo gani kuhusu hatua hii ya Jeshi la Polisi Mkoani Arusha?
mshindo blog - @mshindo_news Instagram Profile | instasw.com
mshindo_news
0

ARUSHA: Jeshi la Polisi limetangaza kufanya msako wa kuwakamata watu wanaovaa nguo zisizoendana na maadili ya Tanzania na kuwafikisha Mahakamani - Kamanda wa Polisi mkoani humo, Charles Mkumbo, amesema uvaaji wa mavazi hayo kwa sasa umekithiri - Je, una mtazamo gani kuhusu hatua hii ya Jeshi la Polisi Mkoani Arusha?

URA watinga fainali , Obrey Chirwa apeleka simanzi Jangwani.#downloadmshindonewsapp #linkkwabioyangu
mshindo blog - @mshindo_news Instagram Profile | instasw.com
mshindo_news
0

URA watinga fainali , Obrey Chirwa apeleka simanzi Jangwani.#downloadmshindonewsapp #linkkwabioyangu

Load More